Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #921
Inshallah tutarudi tukiwa imaraAnyway; maisha ndo yalivyo tuendelee tu tuone mwisho wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inshallah tutarudi tukiwa imaraAnyway; maisha ndo yalivyo tuendelee tu tuone mwisho wake
Kamtemee kochaLeo Mate Yamejaa Mdomoni Machungu Hakuna Pakutemea
Uongozi wa Yanga sio kabisa au ndio kurujuani?Yanga tuna machungu mazito. Unafukuzaje kocha anayeleta matokea wakati wa mechi ngumu?
Yoyote mwenye namba ya Hersi tafadhali naomba.
Leo ni Dube dayMkuu tuvute bangi tu aseee🤔
Kwanini Yanga hawafungi wakifika golini? Wana matatizo gani mechi ya Tabora ilikua hivi hivi umaliziaji sifuriInshallah tutarudi tukiwa imara
Kuna jamaa kasema aliwahi kuishi kwa muda mferu sudan. Ila ni sudan ya temeke. So alikuwa hana namna zaidi ya kuwasupport.Leo nimedhihirisha kuwa Watanzania hawana taifa wala utaifa.Watanzania leo wamekuwa wasudaani
Miyeyusho huyoHuyu kocha Anaongea fitness, kwani Yanga hawana fitness.
Nafasi za kufunga unapata nyingi, huingii ndani, fitness inatoka wapi hapa.
Muhimu tutasonga mbele.
Kocha anavaa suti na joto lote hilo la darMkuu vuta bangi sasa hivi , utagundua kocha wenu ni tapeli 😂😂😂😂😂
Wanazingua sanaKwanini Yanga hawafungi wakifika golini? Wana matatizo gani mechi ya Tabora ilikua hivi hivi umaliziaji sifuri
Mechi 3 mfululizo.wanachezea tu.sawa beki wenu baka hayupo.na kule mbele mbona hamfungi?Alafu bado wanaendelea kucheza na binadamu,
Hapa ndio panawagharimu
Inawezekana yule dingi yupo sahihiUongozi wa Yanga sio kabisa au ndio kurujuani?
michezo ya utotoni tuliicheza pamojaAlhilal timu yangu ya utotoni.
Kocha anavaa suti na joto lote hilo la dar
Kweli majanga yanga imepoteza mechi 3 mfululizo!!Majanga