FT: Young Africans SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier league | KMC Complex | 15.09.2026

Hii mechi hainivutii kabisa. Alichokifanya Aziz Kii kinamtenganisha na mchezaji wa hadhi na kiwango chake. Uko katikati ya uwanja, hakuna hatari yoyote! Unacheza rafu ya kijinga!

Wachezaji wanatengeneza nafasi! Wanakosa utulivu kwenye kumalizia!
Mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…