Unajua mpira bwasheeHuyu kocha hana maisha marefu Yanga! Sub zake hazina mashiko hata kidogo.
Hana mbinuHuyu kocha hana maisha marefu Yanga! Sub zake hazina mashiko hata kidogo.
Alitakiwa aingize wachezaji wenye uwezo wa kumiliki mpira, au wanaojituma sana ili kufidia gap la mchezaji aliyetolewa kwa kadi nyekundu.Hana mbinu
Christmas hafiki huyu atakuwa Kwazulu NatalHuyu kocha hana maisha marefu Yanga! Sub zake hazina mashiko hata kidogo. Mechi ni ngumu halafu unakaingiza katoto ka U20! Muda wote kanakimbia kimbia tu, huku Kangwanda amemuacha nje!!
Ana kikosi kizuri. Shida iko kwake kwenye kufanya mabadiliko na pia rotation.Christmas hafiki huyu atakuwa Kwazulu Natal
Sijamfurahia hata kidogo huyu kocha kwa kutowaheshimu Geita Gold. Timu imecheza mpira wa hovyo sana ndani ya dakika zote 90. Ni vile tu Geita Gold hawakuwa na bahati.Ukisikia 'roho mkononi' ndo hii sasa...
Ukisikia ' Wameshinda Lkn hakuna furaha...ndo hiki kinachotokea..
Ukisikia ' Kukaliwa kooni' ndo mfano huu hapa...
Afu Kocha analitaka Kombe La CAF CL kwa timu hii..... haya ni maajabu
Mzee Tate, leo vipiHii mechi hainivutii kabisa. Alichokifanya Aziz Kii kinamtenganisha na mchezaji wa hadhi na kiwango chake. Uko katikati ya uwanja, hakuna hatari yoyote! Unacheza rafu ya kijinga!
Wachezaji wanatengeneza nafasi! Wanakosa utulivu kwenye kumalizia!
Timu za mkoani kushinda Dar ngumu sana, mmewaloga vijana wa WatuSijamfurahia hata kidogo huyu kocha kwa kutowaheshimu Geita Gold. Timu imecheza mpira wa hovyo sana ndani ya dakika zote 90. Ni vile tu Geita Gold hawakuwa na bahati.
Hii mechi walitakiwa kushinda.
Acha kabisa.Ni kama wamefundishwa kupiga pasi tu hakuna final outcome.
Uwaneni 🤣🤣🤣🤣Kocha anamuingiza mchezaji kijana shombe shombe asiye na uzoefu wa mechi za ligi kuu huku timu iko pungufu, na ikiongoza kwa goli moja linaloweza kurudi muda wowote ule! Unamuingiza Mzize ambaye ametoka majeruhi ya muda mrefu, huku timu iko pungufu!
Mechi haina mvuto! Upuuzi tu.
Mnajidanganya na kikosi kizurieeeAna kikosi kizuri. Shida iko kwake kwenye kufanya mabadiliko na pia rotation.
🤣🤣🤣🤣Hatuna mshindan