FT |Young Africans SC 2-0 JKT Tanzania | CRDB Federation Cup | Semi-Final | Mkwakwani Stadium | 18.05.2025

Yaani baada ya mechi kubwa kule Morocco mnaanza kutuletea mambo ya Wassira Ndondo Cup? Ni halali mtu amalize kula biriyani Kisha aende kufakamia ugali + mnafu?
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ huu ni uchafu gani tena ebu tulieni basi nyuma mwiko tujadili comeback.
 
Mikia wanakandia mechi hii ya CRDB cup, wamesahau kuwa watacheza na SBS.
 
Tuache utani simba wamembinuabinua kama samaki πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…