FT |Young Africans SC 2-0 JKT Tanzania | CRDB Federation Cup | Semi-Final | Mkwakwani Stadium | 18.05.2025

Watu wamechafukwa mkuu. Saa saba hii mtu anaanzisha thread inayohusu Murphy (mafi).

Ccm inazidi kujichotea followers
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Oyaa aweee humu ndani kila mtu anajua mwenyewe..

Mi nasubri ifike sa nane Madame B atoe nyuzi yake ya kutengeneza juisi ya tangawizi na unga wa peke za ubuyu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Oyaa aweee humu ndani kila mtu anajua mwenyewe..

Mi nasubri ifike sa nane Madame B atoe nyuzi yake ya kutengeneza juisi ya tangawizi na unga wa peke za ubuyu
Kuna ile njemba ya kuitwa Mwachiluwi inapenda kuanzisha nyuzi za mavyakula. Kesho inaweza kuja na uzi wa jinsi ya kupika donati zisizo na tundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…