Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Una timu mzuri wakati umecheza game 5 umefunga goli mbiliTuchukue msimu huu kama funzo. Inauma sana kuona tunatoka mapema licha ya kuwa na timu nzuri.
Kwangu sioni jipya twende tukakamilishe ratiba tu.
Yanga viwango wanajipangia wenyewe...Una timu mzuri wakati umecheza game 5 umefunga goli mbili
Inasikitisha sana , tumwambie Mwasibu aanzishe uzi maana akianzishaga huwa ni dalili njemaYaani. Hatukupaswa kabisa kuanza kutembea na calculator.
Mimi ni shabiki wa Yanga ila haya mashindano inabidi uwe na quality ya wachezaji mfano Angalia simba hata kama kaburuza Mkia ila ana goli 5Yanga viwango wanajipangia wenyewe...
Ulishindwa kupata point moja na katika maboresho wakaletwa wachezaji wa kuokotezaToka mwaka jana tushindwe kuipata ile point moja kwa sasa najikuta nakosa cha kuandika.
All in all Kila la kheri Timu ya Wananchi.
mchezaji kama dube ilibidi afukuzwe na vibokoNi kweli timu alizopqngiwa Yanga ni timu bora na ngumu ila Yanga inashindwa kuvuka kwasababu ya makosa binafsi ya wachezaji kiulinzi na kutumia nafasi. Mechi ya Al Ahly naona ikiisha kwa sare
😂😂Kufuzu mtafuzu nyinyi ila vichambo tutapewa sisi. Mkishindwa sasa aaaahhhhhh mtafute pa kujificha
Mbaya zaidi waarabu wanaweza kupeana droo tuWe nicheke tu. 🤣
Nimekuelewa... Lakini mashabiki wengi wa Yanga wana viwango wanavyovijua wao tu.Mimi ni shabiki wa Yanga ila haya mashindano inabidi uwe na quality ya wachezaji mfano Angalia simba hata kama kaburuza Mkia ila ana goli 5
Na hili linawezekana sana tu na nikishaliwaza huwa najikuta nazidi kuishiwa pawa.Mbaya zaidi waarabu wanaweza kupeana droo tu
We nae mbona hueleweki.Mimi ni shabiki wa Yanga ila haya mashindano inabidi uwe na quality ya wachezaji mfano Angalia simba hata kama kaburuza Mkia ila ana goli 5
Nasikia hata hao wengine wakifungwa Yanga haendi robo fainali kwa kuwa Hana goli hata moja la ugenini tofauti na Far rabat.Nikimaanisha kukaa kusubiri mtu apoteze hiyo ni shughuli eti.
Hii nayo inatakiwa iwe akilini kwetu mashabiki japo kikawaida kuna wenzetu wanaona haiwezekani kuwa hivi.Ni kweli timu alizopqngiwa Yanga ni timu bora na ngumu ila Yanga inashindwa kuvuka kwasababu ya makosa binafsi ya wachezaji kiulinzi na kutumia nafasi. Mechi ya Al Ahly naona ikiisha kwa sare
Ni kweli kimsingi inakatisha tamaa na ukiangalia mazingira mechi ya al ahly na farabat point 4 zilikuwa zetu. Wachezaji wanazingua sanaHatujifunzi, msimu ulioisha timu ilihitaji goli moja tu ili ifuzu lakini dakika 90 zinaisha hakuna hata goli. Msimu huu michezo mitano goli ni mbili tu, maanake timu inakuwa na muendelezo wa kutotumia nafasi ipasavyo kwenye klabu bingwa.
Nikupe Cha kuandika?Toka mwaka jana tushindwe kuipata ile point moja kwa sasa najikuta nakosa cha kuandika.
All in all Kila la kheri Timu ya Wananchi.
Mechi ya kisasi hii leo Al ahly hawajasahau walichofanyiwa MoroccoNa hili linawezekana sana tu na nikishaliwaza huwa najikuta nazidi kuishiwa pawa.
This time mahesabu yamekuwa magumu sana kwetu timu ya Wananchi.
Nikimaanisha kukaa kusubiri mtu apoteze hiyo ni shughuli eti.
Inatokea kwenye mpira. If you are man of the gameUna timu mzuri wakati umecheza game 5 umefunga goli mbili
Uongoo Far rabat hajafuzu badoNasikia hata hao wengine wakifungwa Yanga haendi robo fainali kwa kuwa Hana goli hata moja la ugenini tofauti na Far rabat.
Jee Kuna ukweli wowote katika hili?
Mtani hata Sijajua sheria imekaaje hapo.Nasikia hata hao wengine wakifungwa Yanga haendi robo fainali kwa kuwa Hana goli hata moja la ugenini tofauti na Far rabat.
Jee Kuna ukweli wowote katika hili?