Shukrani sana kaka .....Mkuu Goguryeo, nakualika mapema kwenye huu mtanange.
Ukiwepo kindly tupe vitu
Leo nyuma ni lazimaDaima Mbele.
Nyuma mwiko
Simba na medeama nani huwa anamsumbua yanga ?Yule ni level yenu hawezi kuwasumbua
Hiyo sio pointMshindwe wenyewe tu!! Madeama hata kwenye 30 bora za Afrika haimo!! Na mkiiangusha ni sawa na kusukuma mlevi, msidai sifa yoyote!!
We jifanye mungu kwamba unachosema kinakua....leo goli la kwanza kabisa na la mapema, litafungwa na pacome, la pili ki aziz, la tatu musonda, la nne kibabage kama atapata nafasi, la tano max, na la mwisho kabisa litafungwa na mtu flani hivi kama atatokea sub, na si mwingine ni makudubela!
leo tunamfilisi mwana fa na hela zake za mdafu!
ova!
sawaYanga atakutana na Petro Athletico.
I mean wale watakaopita kutoka kundi C.
Simba akipita atakutana na wale watakaopita Kundi A, ambao ndio Mamelodi, Tp Mazembe!!
hapana, kwani ni wapi nimejifanya?We jifanye mungu kwamba unachosema kinakua....
Ndio mchezaji wa Yanga anayeongoza kwa kuifunga SimbaLabda afunge kwa lile domo