FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Uzi unaenda faster utadhan kuna bao limeshafungwa kumbe hata mechi Bado kuanza, hivi ahly nae anacheza leo?
 
Kila la heri Yanga,piga 3-0 hao Medeama fc.
 
STARTING XI
Screenshot_20231220_152009_Instagram.jpg
 
Friends of medeama , piga uto hao🤣
 
leo goli la kwanza kabisa na la mapema, litafungwa na pacome, la pili ki aziz, la tatu musonda, la nne kibabage kama atapata nafasi, la tano max, na la mwisho kabisa litafungwa na mtu flani hivi kama atatokea sub, na si mwingine ni makudubela!
leo tunamfilisi mwana fa na hela zake za mdafu!
ova!
 
Aisee..
🤣🤣🤣

Uzi umeshajaa..hamna siti tena..
 
leo goli la kwanza kabisa na la mapema, litafungwa na pacome, la pili ki aziz, la tatu musonda, la nne kibabage kama atapata nafasi, la tano max, na la mwisho kabisa litafungwa na mtu flani hivi kama atatokea sub, na si mwingine ni makudubela!
leo tunamfilisi mwana fa na hela zake za mdafu!
ova!
We jifanye mungu kwamba unachosema kinakua....
 
We jifanye mungu kwamba unachosema kinakua....
hapana, kwani ni wapi nimejifanya?
siwezi kujifanya mi ni mwanamme, mmeshaanza matusi yenu ya rejareja!?
mbona jana tulishangia wote!? Na leo tuungane tushinde pamoja
 
Medeama wameanza na shambulizi, ambalo limekuwa dhaifu
 
Back
Top Bottom