Tupo mkoani tunakula sikukuuuPamoja na kiingilio bure lakini uwanja haujajaa
Hawa Medeama wafunguke tu tuone game.
ndio maana vijebaWanakula magimbi
Mr.Accountant (phd)...😂😂😂Baadae olewako ukimbie hapa jukwaani wewe muhasibu wa mchongo
Nilisema hapa mapema sana. Hata dk 10 hazijaisha mmeanza kuona.Yanga leo refa yupo upande wenu. Mshindwe tu nyinyi hapo.
Refa anazinguaaKad nyekundu kwa moja ya watu wa bench la ufundi
Kwa vyovyote vile Inatakiwa yanga ashindeRefa naona ameshaanza kufanyia kazi malipo ya ziada.