FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Ubaguzi wao umewatokea puani, yaani mashabiki wote wa Yanga walioingia Bure hakuna hata Moja anayejielewa..angalia hata vaa zao, wengi ni wachafu wachafu wamevaa malapa, wengine yeboyebo zimetoboka, majeans machafu, yaani Kuna nimekutana nap wakienda wananuka uchafu hatari, mswaki hawajapiga...wengine wametembea Kwa miguu kutoka mbezi hata nauli ya daladala hawana!!!
Hovyo tu!!!
Duh!....nini tena hiki ?
 
Yanga wanacheza foul lakini kadi hazitolewi.. ila Mediama leo wataoga kadi sana
 
Naona ujinga ujinga tu umetamalaki Kwa Wachezaji wa mbele.
Wakifika kwenye 18 hawajui wafanyeje. Wakati wanajiuliza mwenzao amekuja kukabia chini qnaondoa hatari. Hivi hadi wafunge inabidi wakose magoli mengi ndio wafunge moja wakati muda hauwasubiri.

Ukiangalia magoli mengi yanayofungwa hapo mitaa ya 18 watu huwa wakofaster na kufanya maamuzi harakaharaka sio kurukaruka.
 
Back
Top Bottom