Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama hawatostahili kushinda?Kwa vyovyote vile Inatakiwa yanga ashinde
Ubaguzi wao umewatokea puani, yaani mashabiki wote wa Yanga walioingia Bure hakuna hata Moja anayejielewa..angalia hata vaa zao, wengi ni wachafu wachafu wamevaa malapa, wengine yeboyebo zimetoboka, majeans machafu, yaani Kuna nimekutana nap wakienda wananuka uchafu hatari, mswaki hawajapiga...wengine wametembea Kwa miguu kutoka mbezi hata nauli ya daladala hawana!!!Pamoja na kiingilio bure lakini uwanja haujajaa
Ana kadi 3 za njano.....Bacca Mbona hayupo ?
Uto wanashambulia sana...wakitulia wanashinda.Hata kama hawatostahili kushinda?
We unawaonaje hapo mpaka sasaHata kama hawatostahili kushinda?
Wanaojielew tupo mikoan tunakula bata na familia zetuUbaguzi wao umewatokea puani, yaani mashabiki wote wa Yanga walioingia Bure hakuna hata Moja anayejielewa..angalia hata vaa zao, wengi ni wachafu wachafu wamevaa malapa, wengine yeboyebo zimetoboka, majeans machafu, yaani Kuna nimekutana nap wakienda wananuka uchafu hatari, mswaki hawajapiga...wengine wametembea Kwa miguu kutoka mbezi hata nauli ya daladala hawana!!!
Hovyo tu!!!
Huyu kipa wa medeama aje unyamani pale.
bora kocha msaidizi maana angekua amepewa mchezaji ingekua balaaKocha msaidizi kala umeme.
Alaaaa kumbeSimba ingekuwa ndio inacheza na Madeama ingekuwa mbele goli tatu Hadi hivi Sasa!!!
Ayoub anatoshaHuyu kipa wa medeama aje unyamani pale.
Ayubu hamna kitu paleAfu ayubu?
mtamuua kipaji chakeHuyu kipa wa medeama aje unyamani pale.