FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Pamoja na kiingilio bure lakini uwanja haujajaa
Ubaguzi wao umewatokea puani, yaani mashabiki wote wa Yanga walioingia Bure hakuna hata Moja anayejielewa..angalia hata vaa zao, wengi ni wachafu wachafu wamevaa malapa, wengine yeboyebo zimetoboka, majeans machafu, yaani Kuna nimekutana nap wakienda wananuka uchafu hatari, mswaki hawajapiga...wengine wametembea Kwa miguu kutoka mbezi hata nauli ya daladala hawana!!!
Hovyo tu!!!
 
Wanaojielew tupo mikoan tunakula bata na familia zetu
 
Back
Top Bottom