FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Duh!....nini tena hiki ?
 
Kocha wa Yanga hajui kufundisha wachezaji wake jinsi ya kufunga magoli kwenye mechi za kimataifa kwa wanaojielewa. Mtu anataka adribo hadi nyumq ya goli.
Naona ujinga ujinga tu umetamalaki Kwa Wachezaji wa mbele.
 
Yanga wanacheza foul lakini kadi hazitolewi.. ila Mediama leo wataoga kadi sana
 
Naona ujinga ujinga tu umetamalaki Kwa Wachezaji wa mbele.
Wakifika kwenye 18 hawajui wafanyeje. Wakati wanajiuliza mwenzao amekuja kukabia chini qnaondoa hatari. Hivi hadi wafunge inabidi wakose magoli mengi ndio wafunge moja wakati muda hauwasubiri.

Ukiangalia magoli mengi yanayofungwa hapo mitaa ya 18 watu huwa wakofaster na kufanya maamuzi harakaharaka sio kurukaruka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…