Vip Unafuta AU Unajiskia AibuHuyu Pacome ni nothing kabisa
Uto...wametumia fursa vizuriMedeama wakimaliza kipindi cha kwanza bila kufungwa watakuwa wamejitahidi sana.
Na Yanga watakuwa wamechezea fursa
Ukweli mchungu huuPacome ndio mchezaji pekee wa Yanga anayestahili kucheza hili kombe. Wengine ni kama saidia fundi kwenye ujenzi tu.
Tafuta mume uolewe sio kwa povu hiliUbaguzi wao umewatokea puani, yaani mashabiki wote wa Yanga walioingia Bure hakuna hata Moja anayejielewa..angalia hata vaa zao, wengi ni wachafu wachafu wamevaa malapa, wengine yeboyebo zimetoboka, majeans machafu, yaani Kuna nimekutana nap wakienda wananuka uchafu hatari, mswaki hawajapiga...wengine wametembea Kwa miguu kutoka mbezi hata nauli ya daladala hawana!!!
Hovyo tu!!!
Sawa tumekusikiaNilisema mwenye akili huko Yanga ni Pacome tuu wengine ni takataka
unateseka ukiwa pande zipi?Ubaguzi wao umewatokea puani, yaani mashabiki wote wa Yanga walioingia Bure hakuna hata Moja anayejielewa..angalia hata vaa zao, wengi ni wachafu wachafu wamevaa malapa, wengine yeboyebo zimetoboka, majeans machafu, yaani Kuna nimekutana nap wakienda wananuka uchafu hatari, mswaki hawajapiga...wengine wametembea Kwa miguu kutoka mbezi hata nauli ya daladala hawana!!!
Hovyo tu!!!