FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Pacomee....💥💥💥💥💥📌📌📌📌📌📌📌💯💯💯💯💯🤝🤝🤝🤝
 
Ubaguzi wao umewatokea puani, yaani mashabiki wote wa Yanga walioingia Bure hakuna hata Moja anayejielewa..angalia hata vaa zao, wengi ni wachafu wachafu wamevaa malapa, wengine yeboyebo zimetoboka, majeans machafu, yaani Kuna nimekutana nap wakienda wananuka uchafu hatari, mswaki hawajapiga...wengine wametembea Kwa miguu kutoka mbezi hata nauli ya daladala hawana!!!
Hovyo tu!!!
Tafuta mume uolewe sio kwa povu hili
 
unateseka ukiwa pande zipi?
 
Back
Top Bottom