FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Hapana toka mwanzo tuliwaambia hawa mkishindwa kuwamenya ndo basi tena..toka first tym mmepangwa nao...na nyie pia mlijipangia kupata point 6 kwao ila mmeambulia 4..
Mtani mtani
 
Niko napitia comments nashangaa kuona watu wanafananisha Wydad na Medeama hivi mko serious au mnatania
Tumfananishe medeama na nani mkuu, lipuli fc?🤣
 
Kwahyo Uto leo kajipigia Kibonde anajisifu kweli...

Dah leo kweli Mgumba kapata mimba Nyumba imejaa mate sasa suburini Faini ya kuwanyima uwanja medeama
Mbona mlijipigia li maiti lenu jana hatukusema?
 
Reactions: 511
Hapana toka mwanzo tuliwaambia hawa mkishindwa kuwamenya ndo basi tena..toka first tym mmepangwa nao...na nyie pia mlijipangia kupata point 6 kwao ila mmeambulia 4..
Kwa jwaneng galaxy mmepata points ngapi?
 
Kuna watu wanataka kuongea kwamba tumewaokota,ila wakikumbuka kilicho wakuta wanakuwa wapole.
Pale kwa ule ulozi mlomwaga...njooni leo basi turudie mechi muone..
Hawa ni vibondeee
 
Hatubahatishi mpira unapigiwa na kugongwa ungongwa mabao ya kutosha.

Kama utaona imekuuma leta timu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…