uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Endeleeni kufurahi, hizi za ligi muanze kutoa suluhuWala sikuwa nimekasirika, at all. Tena wakati najibu hiyo nilikuwa nacheka sana.
Sikiliza b... Binafsi huwa napenda nikiwa na cha kunifurahisha basi nikifurahie kwa nafasi, ukifika wakati wa majonzi nitahuzunika ila sio kwa kujinyima kufurahi wakati huo kwa kuwazia yajayo, lah!
Lakini mechi nyingine ni mpaka February mwishoni ujue? Muda upo wa kutosha kwa kufurahi na kufanya maandalizi.
Cheers