Endeleeni kufurahi, hizi za ligi muanze kutoa suluhuWala sikuwa nimekasirika, at all. Tena wakati najibu hiyo nilikuwa nacheka sana.
Sikiliza b... Binafsi huwa napenda nikiwa na cha kunifurahisha basi nikifurahie kwa nafasi, ukifika wakati wa majonzi nitahuzunika ila sio kwa kujinyima kufurahi wakati huo kwa kuwazia yajayo, lah!
Lakini mechi nyingine ni mpaka February mwishoni ujue? Muda upo wa kutosha kwa kufurahi na kufanya maandalizi.
Cheers
Huku kwenye ligi ni vibonde wetu tunakanyaga tu. Unakumbuka juzi nilikwambia ukiwa na mtu kama Pacome huna haja ya maandalizi?Endeleeni kufurahi, hizi za ligi muanze kutoa suluhu
Jumamosi mko na Tabora United a.k.a Kitayose! hesabuni draw ya kwanza!Huku kwenye ligi ni vibonde wetu tunakanyaga tu. Unakumbuka juzi nilikwambia ukiwa na mtu kama Pacome huna haja ya maandalizi?
Uliona balaa lake wakati anasepa na kijiji?
Sio mbali, na uzuri nitakuwa na muda pia.Jumamosi mko na Tabora United a.k.a Kitayose! hesabuni draw ya kwanza!
mkakati wao ndio huo!
Mtapigwa pin la maana, system yenu ishafahamika
Mimi nitakua kwa mnyama, tukimchakaza KMC vibaya mno!!Sio mbali, na uzuri nitakuwa na muda pia.
Tukutane hapa, usikimbie tu.
acha ndotoJumamosi mko na Tabora United a.k.a Kitayose! hesabuni draw ya kwanza!
mkakati wao ndio huo!
Mtapigwa pin la maana, system yenu ishafahamika
Derby ya walio pigwa 5Mimi nitakua kwa mnyama, tukimchakaza KMC vibaya mno!!
This time hatutaki mchezo.
Mechi zote ni muda tofauti, tutaona.Mimi nitakua kwa mnyama, tukimchakaza KMC vibaya mno!!
This time hatutaki mchezo.
Sawa, tutakutana.Mechi zote ni muda tofauti, tutaona.
Yanga lia lia yule jamaaHivi Pascal Mayalla hua ni shabiki wa timu gani?
Mimi Msimbazi toka enzi za SunderlandHivi Pascal Mayalla hua ni shabiki wa timu gani?
AnhaaaMimi Msimbazi toka enzi za Sunderland
Na UK premier league ni Newcastle kwasababu ya Faustino Asprila na Chelsea kwasababu ya kocha mchezaji Rud Gullit
P
Kazi Gani nzuri? Hao Madeama kwenye ligi Yao wanapumulia mashine, hawana tofauti sana na wale wasouth waliocheza na yanga shirikisho wakashuka daraja kwao!Duuhh... wewe hata kwenye maisha ya kawaida unaonekana una roho ya korosho sana. Badilika, mwenzako akifanya kizuri pongeza tu.
Umechakaa mwenyewe [emoji275][emoji275]Mimi nitakua kwa mnyama, tukimchakaza KMC vibaya mno!!
This time hatutaki mchezo.
Kama ni wabovu waliwafangaje CRB?Kazi Gani nzuri? Hao Madeama kwenye ligi Yao wanapumulia mashine, hawana tofauti sana na wale wasouth waliocheza na yanga shirikisho wakashuka daraja kwao!
Madeama katika mechi zao zaidi ya 6 za mwisho waliocheza ugenini hawajahi kushinda ugenini!
Hao Madeama hata wangekuja kucheza na timu za daraja la kwanza huko wangefungwa tu!
Wenye roho za korosho ni Kama wewe usiyependa kuambiwa ukweli!
Yanga ikiwafunga wale Waalgeria naweza kuwasifia!!
Kiko wapi?Mimi sio mganga ila Yanga badae atasare au atashinda goli moja tuu.
Alafu nimechukia kabisa hapa
[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Vipi mchambuzi kuhusu rekodi yao ya nyumbani? Imekuaje wakamfunga Belouizdad na kushindwa kupata alama tatu mbele ya Yanga?Kazi Gani nzuri? Hao Madeama kwenye ligi Yao wanapumulia mashine, hawana tofauti sana na wale wasouth waliocheza na yanga shirikisho wakashuka daraja kwao!
Madeama katika mechi zao zaidi ya 6 za mwisho waliocheza ugenini hawajahi kushinda ugenini!
Hao Madeama hata wangekuja kucheza na timu za daraja la kwanza huko wangefungwa tu!
Wenye roho za korosho ni Kama wewe usiyependa kuambiwa ukweli!
Yanga ikiwafunga wale Waalgeria naweza kuwasifia!!
Nadhani ligi ya Ghana itakuwa na ushindani sana ndo maana Medeama anae legalega kwao kafungwa na Yanga 3-0 wakati Simba anaefanya vizuri tpl alifungwa goli 5-1Kazi Gani nzuri? Hao Madeama kwenye ligi Yao wanapumulia mashine, hawana tofauti sana na wale wasouth waliocheza na yanga shirikisho wakashuka daraja kwao!
Madeama katika mechi zao zaidi ya 6 za mwisho waliocheza ugenini hawajahi kushinda ugenini!
Hao Madeama hata wangekuja kucheza na timu za daraja la kwanza huko wangefungwa tu!
Wenye roho za korosho ni Kama wewe usiyependa kuambiwa ukweli!
Yanga ikiwafunga wale Waalgeria naweza kuwasifia!!
Tukio la November 5 limeacha vichaa wengiNadhani ligi ya Ghana itakuwa na ushindani sana ndo maana Medeama anae legalega kwao kafungwa na Yanga 3-0 wakati Simba anaefanya vizuri tpl alifungwa goli 5-1