Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani ataharibu hela zake kusajili mbahatishaji?Pacome ana asilimia chache sana kuitumikia Yanga misimu ya mbeleni
?!Madeama 1 yanga 0
OYAAAAA AIBUUUUUUU... Mnakula Makande mnakuja andika umakande umu [emoji1787][emoji1787]Huyu Pacome ni nothing kabisa
Goli alilofunga lilitakiwa kufungwa kwanza na Musonda. Jamaa anavyopiga mipira ya mwisho ni tofauti kabisa na wengine labda Ki. Wanapiga kienyeji ila jamaa anauchinja flani kiasi anaongeza uwezekano wa kufunga kuliko kunyoosha kulenga goli tu.Ukweli mchungu huu
We mwenyewe tyaktyaka tu!Nilisema mwenye akili huko Yanga ni Pacome tuu wengine ni takataka
Mkuu Scars naomba link ya mechi.Nani ataharibu hela zake kusajili mbahatishaji?
Mla makande mwingine Uyu apa...Madeama 1 yanga 0
Pacome angecheza peke yake asingefunga.....Kila mchezaji ana mchango wake.Pacome ndio mchezaji pekee wa Yanga anayestahili kucheza hili kombe. Wengine ni kama saidia fundi kwenye ujenzi tu.
Mkuu sema ukweli,Nani ataharibu hela zake kusajili mbahatishaji?
mtamuua kipaji chake
Onana ni chekechea kwa PacomePacome uyu jamaa ni nyoko,kumfananisha na onana ni sawa kumfananisha gaucho na yusuph macho
Upashe motoHivi mechi ishaanza? Mbona uzi umepoa?
Uliniambia huna timu! 😂kumbe unaipenda yanga.We mwenyewe tyaktyaka tu!
Huo ni unazi! Kwenye unazi mtu anaweza kuongea chochote!Onana ni chekechea kwa Pacome