FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Goli alilofunga lilitakiwa kufungwa kwanza na Musonda. Jamaa anavyopiga mipira ya mwisho ni tofauti kabisa na wengine labda Ki. Wanapiga kienyeji ila jamaa anauchinja flani kiasi anaongeza uwezekano wa kufunga kuliko kunyoosha kulenga goli tu.
Kuna mechi moja ilikuwa ni ligi kuu na kumbuka alikuwa hajaaminika kwenye kikosi kwa maana ya first eleven lakini alivyopata nafasi , nikagundua ni bonge la mchezaji,

Huyu pale Man u EPL ana namba yake
 
Back
Top Bottom