Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Uzi hauna live updates mbona??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mechi moja ilikuwa ni ligi kuu na kumbuka alikuwa hajaaminika kwenye kikosi kwa maana ya first eleven lakini alivyopata nafasi , nikagundua ni bonge la mchezaji,Goli alilofunga lilitakiwa kufungwa kwanza na Musonda. Jamaa anavyopiga mipira ya mwisho ni tofauti kabisa na wengine labda Ki. Wanapiga kienyeji ila jamaa anauchinja flani kiasi anaongeza uwezekano wa kufunga kuliko kunyoosha kulenga goli tu.
Yeah!...Yanga wakitulia watajipia sana huyu kibonde.Wakifunguka tuu tano zina wahusu.
utakuta nae kala makandeMax amekosa tu utulivu
Yamekua haya tena mkuuItoshe kusema Yanga mmekutana na vibonde
Matakataka kama haya Ma Nzengeli ndio mnayategemea?We mwenyewe tyaktyaka tu!
Mods hawawezi kuacha mambo ya msingi ya kufanyaMods wamelala au
Kama inauma chomoa!!😂💚💛Itoshe kusema Yanga mmekutana na vibonde
😂😂 kwan unataka uelewe nini Rage fcMbona uzi hauleweki?
Sina timu mkuu, naangalia upepo unakoelekea🤪Uliniambia huna timu! 😂kumbe unaipenda yanga.