kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
mod wanaangalia mechi kali mpaka wamepitiwa, tuwasamehe bureUzi hauna live updates mbona??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mod wanaangalia mechi kali mpaka wamepitiwa, tuwasamehe bureUzi hauna live updates mbona??
Wewe unaonaje Madeame kuna timu humo mkuu?Yamekua haya tena mkuu
Mods hawawezi kuacha mambo ya msingi ya kufanya
Nenda jukwaa la kilimo bibie kile wamejazana wajasiriamali mnaweza kushare mawili matatu.Mbona uzi hauleweki?
Kuna mechi moja ilikuwa ni ligi kuu na kumbuka alikuwa hajaaminika kwenye kikosi kwa maana ya first eleven lakini alivyopata nafasi , nikagundua ni bonge la mchezaji,
Huyu pale Man u EPL ana namba yake
Mods wanekula makande na magimbi yamelalaMbona uzi hauleweki?
Nothing ndio kwani kuna nini cha kubadilisha?OYAAAAA AIBUUUUUUU... Mnakula Makande mnakuja andika umakande umu [emoji1787][emoji1787]
Sema ukweli wako!!😂Sina timu mkuu, naangalia upepo unakoelekea🤪
Kama Jana tu, Wydad ya Sasa ina utofauti gani na Dodoma jiji.Itoshe kusema Yanga mmekutana na vibonde
Kibonde kuliko Wydad?...😂😂😂Itoshe kusema Yanga mmekutana na vibonde
Mods hawawezi kuacha mambo ya msingi ya kufanya
MakandeeeKina Max Max hawa wote nothing kabisa
Anaubora wa ligi kuu, kimataifa anatakiwa apewe hiyo nafasi mtu mwingine au arudishwe darasani. Anamakosa sana yqsiyo ya lazima.Nzengeli hayupo Kwenye ubora wake Leo
Kweli unaifananisha Wydad na Madeame mkuu?Kama Jana tu, Wydad ya Sasa ina utofauti gani na Dodoma jiji.