FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Medeama walistahili kufungwa zaidi ya goli moja.

Walikuwa na makosa mengi sana ya wazi lakini bahati imekuwa kwao tu kwasababu wanaofika fika kule mbele ni kina Musonda, Kibabage na Max ambao wamekuwa na maamuzi mabovu ya mwisho
 
Wakishinda tutaweka wapi sura zetu[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom