FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

20231220_173604.jpg
 
Niko napitia comments nashangaa kuona watu wanafananisha Wydad na Medeama hivi mko serious au mnatania
 
Kuna watu wanataka kuongea kwamba tumewaokota,ila wakikumbuka kilicho wakuta wanakuwa wapole.
 
Daah Tanesco na maumbwaa sana, hongereni tesm langu
 
Huku hakuna kibonde ndivyo tulivyokubaliana mkuu, sasa mmebadili Gia angani
Hapana toka mwanzo tuliwaambia hawa mkishindwa kuwamenya ndo basi tena..toka first tym mmepangwa nao...na nyie pia mlijipangia kupata point 6 kwao ila mmeambulia 4..
 
Kwahyo Uto leo kajipigia Kibonde anajisifu kweli...

Dah leo kweli Mgumba kapata mimba Nyumba imejaa mate sasa suburini Faini ya kuwanyima uwanja medeama
 
Back
Top Bottom