Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka turudie mechi eti 🤣Kile kipigo kuisha sio Leo wala kesho mkuu, na ndiyo maana wanaumia mara tatu Tatu hahahaha 🤣🤣🤣
Hivi kipimo kumbe ni Simba? Ila ni sawa Yanga wageni humu.walijua jana kazi imeisha matokeo yao yamesahaulika mapema sana
Tumezima tukio hahahaha 😂🤣 kiukweli licha ya wao kushinda Jana, lakini hawana furahawalijua jana kazi imeisha matokeo yao yamesahaulika mapema sana
ndio si hii iliyo chapwa na timu zote kwenye kundi lake ama we waijua ipiWewe unaijua Wydad?
Aiseee nipo pharmacy hapa 🤣🤣🤣Mkuu upo?
Na vibonde zaidi ya Mediama ni huyu🦁Mbona tokea tarehe Novemba tano tunajipigia vibonde au mmesahau juzi.......
Inawezekana yale mabango hayatoshi watu wanawahi kusahi....
Leo kwa kweli jamaa wamekuwa chini sana...no tempo to their play, sloppy passing, poor decision making on the ball and dnt even start on that weak asssssss penalty.Medeama walistahili kufungwa zaidi ya goli moja.
Walikuwa na makosa mengi sana ya wazi lakini bahati imekuwa kwao tu kwasababu wanaofika fika kule mbele ni kina Musonda, Kibabage na Max ambao wamekuwa na maamuzi mabovu ya mwisho
simba iwe kipimo kwa mpira gani, timu haifikishia hata pasi 10 mfululizo iwe kipimo mkuu kuwa serious basiHivi kipimo kumbe ni Simba? Ila ni sawa Yanga wageni humu.
ha ha ha haa..Niumie na nini? Kwangu jana tulimaliza sherehe
Unapimaje kiwango cha furaha ?Tumezima tukio hahahaha 😂🤣 kiukweli licha ya wao kushinda Jana, lakini hawana furaha
CR Belouzidad ni wazito labda kwa home advantage mjitahidi sareHata CR Belouizdad lazima wafe hapo Lupaso kwa moto huu..
Simba msiwe na makasiriko subirini tumalizane na mwali wetu😂😂Usilete ukatoliki hapa.
Ngoja tuwaonyeshe kwa mnaowaita vibonde🤣Nasema turudie mechiiii ...kuanzia Manula ilikua fraud...turudieni mechi hamna ubavu wa kumfunga Simba goli 5 nyie
Utapigwa tano wewe...huyo pacome mwenyewe sii unaona anavyofanya mambo.Mechi ya Simba na Yanga irudiweee..