FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

Ligi ya Tanzania imepangwa hii kabisa kabisa.

Kuna game fixtures
Nilichogundua wachezaji wazawa ambao wamejaa kwenye hizi timu za mikoani wanacheza kwa kutojali, na matokeo yake wanapiga pasi nyingi hatarishi na zisizo na maana.

Ukiangalia backline ya Kagera wanachezea mpira nyuma na wakati mwingi wanapoteza mipira hiyo unaweza kudhani wamehongwa ila wachezaji hao hao wanakuja kusave mipira ya hatari. Hii nimeona mechi nyingi tu hasa zinazohusu Yanga ila huwa nasita kusema bahasha, nadhani ni wachezaji wazawa tu kutojitambua. Ni tatizo la kitaifa.
 
Kagera wanakosa kujiamini wakifika eneo la kushambulia wanatetemeka
Makocha wa hizi timu ndogo mi wanishangaza sana. Ukicheza na Simba au Yanga haupaswi kucheza standard football ya short passes, inatakiwa ucheze pasi ndefu na kujaribu ukifika ndani ya 18.
 
Huyu Aziz Kii anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa misuli yake ya miguu ili kupunguza maafa yanayoweza kuzuilika.
Kabisa nasikia Manula kampigia daktari aseme kua ana maumivu ya nyonga na kidali

FAMASIALA NINI
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nilichogundua wachezaji wazawa ambao wamejaa kwenye hizi timu za mikoani wanacheza kwa kutojali, na matokeo yake wanapiga pasi nyingi hatarishi na zisizo na maana.

Ukiangalia backline ya Kagera wanachezea mpira nyuma na wakati mwingi wanapoteza mipira hiyo unaweza kudhani wamehongwa ila wachezaji hao hao wanakuja kusave mipira ya hatari. Hii nimeona mechi nyingi tu hasa zinazohusu Yanga ila huwa nasita kusema bahasha, nadhani ni wachezaji wazawa tu kutojitambua. Ni tatizo la kitaifa.
Tayari tushatanguliza bahasha kwenu kwa ajili ya mechi ya jpili kama kishika uchumba kama tulivyo fanya kwenye ngao ya hisani.
 
Tusemwembe vip kwani ww juzi ulipata goli dk ya ngapi, japo la kwanza wachezaji wako wameshika mara mbili refa akauchuna.

We subiri zamu yako jumapili, Manula ana la kwake kama hili la pili.
Kwa magoal mawili ya Azizi ki yamempa kiburi haji manara leo wachambuzi watakoma
 
Back
Top Bottom