NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Manula huko alipo akiliona hilo goli mbolea inamtoka kwenye bukta yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Aziz Kii anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa misuli yake ya miguu ili kupunguza maafa yanayoweza kuzuilika.Hili Goli la Aziz Ki liwekwe kwenye maktaba ya Taifa
[emoji169][emoji172]
Labda kichapo cha nyoka ila sio mnyamaNa tarehe 16 kichapo kiko pale pale.
Nilichogundua wachezaji wazawa ambao wamejaa kwenye hizi timu za mikoani wanacheza kwa kutojali, na matokeo yake wanapiga pasi nyingi hatarishi na zisizo na maana.Ligi ya Tanzania imepangwa hii kabisa kabisa.
Kuna game fixtures
Makocha wa hizi timu ndogo mi wanishangaza sana. Ukicheza na Simba au Yanga haupaswi kucheza standard football ya short passes, inatakiwa ucheze pasi ndefu na kujaribu ukifika ndani ya 18.Kagera wanakosa kujiamini wakifika eneo la kushambulia wanatetemeka
Kabisa nasikia Manula kampigia daktari aseme kua ana maumivu ya nyonga na kidaliHuyu Aziz Kii anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa misuli yake ya miguu ili kupunguza maafa yanayoweza kuzuilika.
Tayari tushatanguliza bahasha kwenu kwa ajili ya mechi ya jpili kama kishika uchumba kama tulivyo fanya kwenye ngao ya hisani.Nilichogundua wachezaji wazawa ambao wamejaa kwenye hizi timu za mikoani wanacheza kwa kutojali, na matokeo yake wanapiga pasi nyingi hatarishi na zisizo na maana.
Ukiangalia backline ya Kagera wanachezea mpira nyuma na wakati mwingi wanapoteza mipira hiyo unaweza kudhani wamehongwa ila wachezaji hao hao wanakuja kusave mipira ya hatari. Hii nimeona mechi nyingi tu hasa zinazohusu Yanga ila huwa nasita kusema bahasha, nadhani ni wachezaji wazawa tu kutojitambua. Ni tatizo la kitaifa.
Sawa sawa ndugu Ufudu
Umeelewa nilichoandika?Tayari tushatanguliza bahasha kwenu kwa ajili ya mechi ya jpili kama kishika uchumba kama tulivyo fanya kwenye ngao ya hisani.
Rage apewe tuzo...Ligi ya Tanzania imepangwa hii kabisa kabisa.
Kuna game fixtures
Sasa bahasha imefuata nini?Umeelewa nilichoandika?
Aliongea kolo Kwa uchungu SanaVyura bwana baada ya kufunga ndo wameanzq kuruka ruka
Kwa magoal mawili ya Azizi ki yamempa kiburi haji manara leo wachambuzi watakomaTusemwembe vip kwani ww juzi ulipata goli dk ya ngapi, japo la kwanza wachezaji wako wameshika mara mbili refa akauchuna.
We subiri zamu yako jumapili, Manula ana la kwake kama hili la pili.
Hapa ulitaka kusema nini?Kuna game fixtures