FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

Mayeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee [emoji460]
Anhaa kumbe ni huyu rasta

Wakati naondoka nilimuacha akiwa amepata nafasi 7 za wazi

Na takwomu zinasema kwenye nafasi 10 lazima akupige goli 1

So kumbe nilivyotoka, hapo katikati kulikuwa kuna nafasi zingine 3 ali miss.

Well done hii ndio aina ya striker ambaye anastahili kucheza kwenye Club hii kutokana na hadhi ya Club.

Mayeleeeeeeeee
 
je unadhani atazichezea hizo nafasi tarehe 16??
 
Kama uwezo wako wa kuelewa umeishia hapo sina cha kukusaidia
 
Na ndio top scorer wa ligi ya nchi hii, maanake wachukue washambuliaji wote wa Simba + Azam + Namungo+ Ihefu +......
Mayele ndio kinara wao
 
Na ndio top scorer wa ligi ya nchi hii, maanake wachukue washambuliaji wote wa Simba + Azam + Namungo+ Ihefu +......
Mayele ndio kinara wao
Topu skoa wenu ana zari kila mechi anacheza, majeraha ya wachezaji wetu ndio yanayompa advantage na kumfanya awe mbali kuwazidi wachezaji wetu.
 
Mkuu magoli ya baleke hayana impact Kwa Simba, ndio maana huwaoni wakijumuika kushangilia, yaani hata aifungie Simba goli ngapi haziwapeleki Simba kuchukua ndoo
Hawajumuiki kushangilia kwasababu sio kitu cha kustua, kufunga hiyo ndio role yake sa unaposhangilia sana mpaka kutikisa maziwa ni kama umebahatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…