FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

Makocha wa hizi timu ndogo mi wanishangaza sana. Ukicheza na Simba au Yanga haupaswi kucheza standard football ya short passes, inatakiwa ucheze pasi ndefu na kujaribu ukifika ndani ya 18.
Oya Kagera leo wamepiga long passes zenye accuracy kubwa sana.

Tatizo nililoliona kwao ni pressure, wanatumia nguvu kubwa kupasua midsle ya Yanga ili waifikie 18 lakini wakifika hapo utaona mtu anaanza kukaa na mpira bila sababu yani anatetemeka sehemu ambayo ilimuhitaji kupiga shuti unakuta anarudisha mpira nyuma tena long pass ambayo inafikiwa na mabeki wake
 
Soma uelewe kilichoandikwa acha mihemko
".....Yanga ila huwa nasita kusema bahasha......"

Kwa hiyo ww unasita kusema kwenye mechi za Yanga vipi yako juzi wachezaji wawili wamecontrol kwa mkono.

Sasa kwa nini HAUKUHISI juzi kwamba mmetoa bahasha baada wachezaji wawili control mpira mara mbili kwa mkono au kwakuwa ni Kolo FC.
 
Back
Top Bottom