Dish
JF-Expert Member
- Jun 3, 2019
- 624
- 922
Mpaka mpewe penat
Penalty zote ni za halali
Au mpira ulisikiliza TBC fm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka mpewe penat
Niliona tangu dakika 5 za kwanza nikajua hapa kuna Bonanza hapa.TFF ichunguze upangaji wa matokeo, leo Kagera Sugar wanacheza mpira legelege kabisa.
Vipi na simba anaposhinda 7 kwa 0 dhidi ya Ruvu shooting, Mtibwa sugar, nk!TFF ichunguze upangaji wa matokeo, leo Kagera Sugar wanacheza mpira legelege kabisa.
[emoji23][emoji23]kweli we DishPenalty zote ni za halali
Au mpira ulisikiliza TBC fm
Hoja mufilisiNiliona tangu dakika 5 za kwanza nikajua hapa kuna Bonanza hapa.
[emoji23][emoji23]kweli we Dish
Tarehe 16 watachezesha PCCBTFF ichunguze upangaji wa matokeo, leo Kagera Sugar wanacheza mpira legelege kabisa.
Wivu wa mke mkubwa huoVipi na simba anaposhinda 7 kwa 0 dhidi ya Ruvu shooting, Mtibwa sugar, nk!
Mkude bonge la mchezaji lakini hawamuiti timu ya taifa wala hapangwi kwenye timu yakeUto Ina wachezaji wa class ya kawaida sana. Imagine Mudhathir kutokea mitaani alipoingia moja kwenye kikosi cha kwanza cha Uto
Unatumia kinywaji gani .. unitumie LIPA NAMBA 😅😅Mtapigwa kama mbwaaa nawaambia nyie vyura...hao kagera hwana timu hao ingekua Simba ingewabamiza 7
imetimia ni mnono kweli !!Naitakia ushindi mnono timu yangu ya Young Africans.
Hapo umeongea ki uanamichezo zaidi. Ligi yetu inakua wakati timu yetu ya taifa inazidi kudumaaMpira wa TZ kwishne .... huku Uto mechi 2 wachezaji wa kigeni wanafunga goli zote 6, na kule Simba mechi 2 magoli yote 7 wanafunga wageni
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Makubwaa