FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

View attachment 3101654
View attachment 3102061
Match Day
CAF Champion League
Young Africans SC VS CBE SA

2nd Preliminary round
2nd Leg
Stadium: New Amani Stadium Zanzibar
Date: 21-09-204
Time 8:30pm EAT

Soma Pia: FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

#Daimambelenyumamwiko#

Kikosi cha Yanga Kinachoanza Leo.
View attachment 3102278

Updates...
Mpira umeanza kwa kasi kidogo
Yanga wameanza kwa kulishambulia lango la CBE
Wamekosa goli la wazi hapa.
Chama anapaisha mpira

DK 6'
CBE wanapata free kick nje kidogo ya 18 ya Yanga.
Inapigwa haileti madhara yoyote kwa Yanga
View attachment 3102487
Yaani huu uzi nilikuwa nautafuta naona watu wabaya sana hata JF admin walikuwa wameuficha maana jana nilikuwa busy sikufuatilia. Safi sana wananchi
 
Aiseee 5imba watakimbia maana mnawatisha....Dozi kwa sasa ni 6 na si 5.
 
Yanga imenyanyasa Timu za ethiopia vya kutosha , mwaka ule wa kina edibily Lunyamila waliipiga coffee ya Ethiopia 6-2 kulekule kwao Ethiopia
 
Hapo Sawa Zbar guest za 35,000 na 40,000 ziko mbili Tu nazo unaweza kukuta wametandika mapazia ,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Wao wateja wao ni watalii hotel nzuri bei imechangamka.
Kuna boti zinaondoka baada ya saa moja na nusu lijalo tunasepa nazo. Kwanini tulale
 
Ni Musonda, ila Pacome umemuonea ni msaada kwa timu kwanzia kwenye kukaba hadi kutengeneza mashambulizi
Pacome ni engine ya Yanga kukosa goli ni kitu cha kawaida..
Musonda ndio yapasa apunguze papara lakini bado nae ni mchezaji mzuri tu..
 
Screenshot_20240922_091332_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom