FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

Gooool, Aziz K. ila, nimetazama sana mechi za Yanga, naona kama kila wanavyoenda mbele wanazidi kushuka, ni kama wameanza kuamini wao ni wakubwa mno ilihali waendapo ni kugumu zaidi ya walipotoka, walipotoka hakuna mpinzani aliyewatilia maanani sana tofauti na sasa CBE inakaza.
Hii comment game ilikuwa dakika ya ngapi?
 
Nashindwa kusema hii CBE ni mbovu au hao Yanga ni bora.
Kwa jinsi Simba tulivyowahi kupigwa tano na Yanga, nabakia kusema soka ni mchezo wa kikatili mnoo.
Umeongea vizuri bila kuihusisha mahaba ya klabu unayoipenda,huwa napenda kuzungumza uhalisi hasa nikiwa kijiweni ninapobadilishana mawazo na wengine.
 
Back
Top Bottom