msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,895
- 2,410
maumivu unayapata kutoka wapi mkuu?Kwa Jinsi Wanachuo wa CBE wanavyocheza kwa Kujiamini na dharau japo wamefungwa... Yanga wanaonekana hawana furaha kbs na Ushindi huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maumivu unayapata kutoka wapi mkuu?Kwa Jinsi Wanachuo wa CBE wanavyocheza kwa Kujiamini na dharau japo wamefungwa... Yanga wanaonekana hawana furaha kbs na Ushindi huu
Acha tuHii comment game ilikuwa dakika ya ngapi?
Magoli 17 jamani 🤣 wameshinda mechi zote Home and away sio sawaHuu ni ujinga, Yanga wanatakiwa wawe wanaanzishwa makundi directly
Zimeishia ngapi mkuu?Vijana mna hamu sana na ushindi, hata sisi tunawaona kuwa mnaendaa kushida, ila sio kwa goli nyingi kiasi mnachoamini
AiseeInabidi mtu awe na kichwa kama cha mwendawazimu ili aweze kuamini kuwa kumsukuma mlevi na kumwangusha ina maana una nguvu!! CBE ni kama mlevi tu!
Haupo sawa wewe timu yako iliyo nzima si ilishatafunwa na Yanga SCInabidi mtu awe na kichwa kama cha mwendawazimu ili aweze kuamini kuwa kumsukuma mlevi na kumwangusha ina maana una nguvu!! CBE ni kama mlevi tu!
Mkuu umetisha.Tutawaonesha kina debora namna ya kutia ujauzito vizuri kwa wahabeshi
Yanga 6
CBE 0
Mpaka tunamaliza atua ya makundi pesa tuLizin umia kumbakisha Aziz k zitakuwa zimeludi kupitia goli la mama.Matokeo ya leo yamenifadhaisha sana. Yanga wamekomba jumla ya Tshs 85,000,000 za mama. Wapunguze kufunga magoli mengi wasijemfilisi mama yetu. Wawe na huruma kidogo
Leta timu ambayo haijawahi kula mkono, tena kuna 5 bilaWewe ulikula 5 usiongee kitu na ukaja ukala kimoja leta Tena timu yako mbovu hiyo
Isalimie sana familia yako mkuu....Mimi na familia yangu tunaitakia ushindi CBE SA...
Asante...
Timu nzima yeye ndo alikua anabidii, lazma ari ishuke....ila huku kila mtu yupo moto hata ari imepandaUongo
Za ndaaaani unaambiwa huyu afisa ubashiri amezimia tangu jana......Kama una hata kilo imezagaa zagaa mpe Mhabeshi utakuja kunishukuru baadae
Rafiki katika watu walioteseka huyu kipa ni namba moja aisee. 😂😂
Ulikuwa sahihi hapa Mkuu.Naitakia timu yangu ya Yanga ushindi mnono wa goli 5 na kuendelea mbele
Tujuane aisee Mkuu. 🤪🤪Tuliokuja Zanzibar tujuane hapa