FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

Inabidi mtu awe na kichwa kama cha mwendawazimu ili aweze kuamini kuwa kumsukuma mlevi na kumwangusha ina maana una nguvu!! CBE ni kama mlevi tu!
 
Haupo sawa wewe timu yako iliyo nzima si ilishatafunwa na Yanga SC
 
Matokeo ya leo yamenifadhaisha sana. Yanga wamekomba jumla ya Tshs 85,000,000 za mama. Wapunguze kufunga magoli mengi wasijemfilisi mama yetu. Wawe na huruma kidogo
 
Mpaka tunamaliza atua ya makundi pesa tuLizin umia kumbakisha Aziz k zitakuwa zimeludi kupitia goli la mama.
 
IMG-20240922-WA0000.jpg

Yanga tuoneeni huruma wa tz....barabara bado zinajengwa jamani
 
Back
Top Bottom