mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
View attachment 3102482
Mpira Umeisha ila watu hawataki Kuondoka kabisa
Hawana pa Kulala. Guest bei ya chini 60,000/=😂View attachment 3102482
Mpira Umeisha ila watu hawataki Kuondoka kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 3102482
Mpira Umeisha ila watu hawataki Kuondoka kabisa
Hawana pa Kulala. Guest bei ya chini 60,000/=😂View attachment 3102482
Mpira Umeisha ila watu hawataki Kuondoka kabisa
Yamekuwa hayo tena6-1=5imba
Kafunga mbili na assist. Kuna muda unatakiwa utambue kwenye mpira kuna kupanda na kushuka. Ndio kwanza msimu unaanza mnaanza kuleta habari za Mobetto.Azizi Ki sijui ndio Mobeto kamuaribu au ndio sifa zimemlevya, kawa mpotezaji sana wa mipira
😀😀😀.Akikujibu bila kumumunya maneno nitag
Usiombe msamaha mapema wewe, hata huko kwenye makundi watafungwa...😂😂😂😂😂Nisamehewe, nimekosa mimi.
Wee half cast koko, punguza Wengee, utakujaa kujutaaa.Simba akifuzu nile ban msimu mzima
Atakuwa shabiki maandazi huyoMuoneni huyu jamaa
Habari za asubuhi ndugu yangu.Vijana mna hamu sana na ushindi, hata sisi tunawaona kuwa mnaendaa kushida, ila sio kwa goli nyingi kiasi mnachoamini
KengoldNani anefata[emoji2955]??View attachment 3102479
Vipi 5, Novemba ilikuwaje?Bomu monchwari kipindi cha covid
Hahaha, wakifungwa ni sherehe ila kwenye hili la leo bora kuchutama. Msuli ushapepea, unatoka kuwasifia CBE wamejitahidi kukaza halafu wanaruhusu goli 6? Aibu gani hii.Usiombe msamaha mapema wewe, hata huko kwenye makundi watafungwa...😂😂😂😂😂
Na Sita bila je. Au kumbukumbu yako inafuta. Hizo 4-0 ndio za kufikia 🤩Vipi 5, Novemba ilikuwaje?
Ni Musonda, ila Pacome umemuonea ni msaada kwa timu kwanzia kwenye kukaba hadi kutengeneza mashambuliziMusonda na pacome wanatakiwa kutrain na kutumia akili zaidi kuliko nguvu. ama la, muda si mrefu watakosa namba.