FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

Yaani huu uzi nilikuwa nautafuta naona watu wabaya sana hata JF admin walikuwa wameuficha maana jana nilikuwa busy sikufuatilia. Safi sana wananchi
 
Aiseee 5imba watakimbia maana mnawatisha....Dozi kwa sasa ni 6 na si 5.
 
Yanga imenyanyasa Timu za ethiopia vya kutosha , mwaka ule wa kina edibily Lunyamila waliipiga coffee ya Ethiopia 6-2 kulekule kwao Ethiopia
 
Hapo Sawa Zbar guest za 35,000 na 40,000 ziko mbili Tu nazo unaweza kukuta wametandika mapazia ,πŸ˜‚πŸ˜‚. Wao wateja wao ni watalii hotel nzuri bei imechangamka.
Kuna boti zinaondoka baada ya saa moja na nusu lijalo tunasepa nazo. Kwanini tulale
 
Ni Musonda, ila Pacome umemuonea ni msaada kwa timu kwanzia kwenye kukaba hadi kutengeneza mashambulizi
Pacome ni engine ya Yanga kukosa goli ni kitu cha kawaida..
Musonda ndio yapasa apunguze papara lakini bado nae ni mchezaji mzuri tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…