Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya tajiri haya. Siyo huko umakoloni kila siku Mudi anashinda mitandaoni kulalama kwamba ngada FC wanamtia hasara.Yanga Bingwa
Na kitendo cha kupeleka mechi Zenji, kiuchumi maana yake;Watu ni wengi sana hapa Zanzibar.
Hakika Yanga inapendwa, Hakika Yanga ina Mashabiki wengi!
Hakika Yanga ni Timu ya burudani.
Maneno ya wa kwenye luzaaaaa.. akina 51mbaChampions league imepoteza mvuto
Kweli kabisa, lakini Taxi mtandao (uber) and alike kwa hapa Zanzibar, no operation.Na kitendo cha kupeleka mechi Zenji, kiuchumi maana yake;
1. Hotels zimeuza sana
2. akina uber na wenzao wakiwemo bodaboda wameuza sana
3. Boti zimeuza sana
4. Ndege nazo zimeuza
5. Mama ntilie na mabaa yote yameuza sana
6. Kitimoto imeuzwa sana
etc
hara mimiNaitakia timu yangu ya Yanga ushindi mnono wa goli 5 na kuendelea mbele
Maisha majumba ya namna hiyo mimi ni hell noo. Siyawezii, bora nikaishi nyumba ya nyasi
Aisee...kwahiyo mechi ya saa 2 usiku, watu wanaingia uwanjan saa 11 hii??? ???
Una maana kwamba leo Yanga akishinda anafikia point za simba??Leo tunafyeka kichaka cha makolo kuwa wao wako juu ki rank Caf.
Kwa kuingia tu makundi sisi tutakuwa juu ya simba kipoint ndo maana ya ile kauli ya kufyeka vichaka...kama hujaelewa nenda YouTube search Dominic salamba Tv.Una maana kwamba leo Yanga akishinda anafikia point za simba??
Nilikua sijaielewa mpaka nilipoona post yako ndio nikapata idea so nikauliza ku confirmKwa kuingia tu makundi sisi tutakuwa juu ya simba kipoint ndo maana ya ile kauli ya kufyeka vichaka...kama hujaelewa nenda YouTube search Dominic salamba Tv.
Sema simba hawatakubali, watakaza na wao wapite kwenda group stageNakuzipita