FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

IMG_20240921_154307.jpg

Michenzani!!
Hapabadiliki kabisa 😊
 
Watu ni wengi sana hapa Zanzibar.
Hakika Yanga inapendwa, Hakika Yanga ina Mashabiki wengi!
Hakika Yanga ni Timu ya burudani.
Na kitendo cha kupeleka mechi Zenji, kiuchumi maana yake;
1. Hotels zimeuza sana
2. akina uber na wenzao wakiwemo bodaboda wameuza sana
3. Boti zimeuza sana
4. Ndege nazo zimeuza
5. Mama ntilie na mabaa yote yameuza sana
6. Kitimoto imeuzwa sana
etc
 
Kweli kabisa, lakini Taxi mtandao (uber) and alike kwa hapa Zanzibar, no operation.

Ila Boda, bajaji na Alfard( Taxi za Zanzibar) zinapiga kazi sana.
 
Kwa kuingia tu makundi sisi tutakuwa juu ya simba kipoint ndo maana ya ile kauli ya kufyeka vichaka...kama hujaelewa nenda YouTube search Dominic salamba Tv.
Nilikua sijaielewa mpaka nilipoona post yako ndio nikapata idea so nikauliza ku confirm
 
Back
Top Bottom