FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

Yanga kama tupo ugenini ohhh
Aliyepeleka mechi zenji alaaniwe
Yaani game inavyoenda mpaka Sasa Hawa Ethiopians ndio wameyafanyia kazi makosa yao waliyoyafanya kwenye mechi ya kwanza kuliko hata Yanga, leo sioni kabisa hawa jamaa wakiacha spaces kwenye nusu yao na kuwaruhusu yanga watengeneze nafasi nyingi nyingi kama ilivyokuwa kwenye mechi ya kwanza... Na tusishangae leo tukalala na surprise ya mwaka hapo baadae
 
Hii mido ya leo haina ubunifu aisee
Yanga mipira ya chini haitembei ni butua butua
 
Mfa maji kutapatapa ndo kwake
Yaani game inavyoenda mpaka Sasa Hawa Ethiopians ndio wameyafanyia kazi makosa yao waliyoyafanya kwenye mechi ya kwanza kuliko hata Yanga, leo sioni kabisa hawa jamaa wakiacha spaces kwenye nusu yao na kuwaruhusu yanga watengeneze nafasi nyingi nyingi kama ilivyokuwa kwenye mechi ya kwanza... Na tusishangae leo tukalala na surprise ya mwaka hapo baadae
 
Yaani game inavyoenda mpaka Sasa Hawa Ethiopians ndio wameyafanyia kazi makosa yao waliyoyafanya kwenye mechi ya kwanza kuliko hata Yanga, leo sioni kabisa hawa jamaa wakiacha spaces kwenye nusu yao na kuwaruhusu yanga watengeneze nafasi nyingi nyingi kama ilivyokuwa kwenye mechi ya kwanza... Na tusishangae leo tukalala na surprise ya mwaka hapo baadae
Yaaani Yanga wamefika golini zaidi ya mara 5 ilihali CBE wamefika mara moja tena kwa faulo bado unaona Yanga haitengenezi nafasi?
 
Yaani game inavyoenda mpaka Sasa Hawa Ethiopians ndio wameyafanyia kazi makosa yao waliyoyafanya kwenye mechi ya kwanza kuliko hata Yanga, leo sioni kabisa hawa jamaa wakiacha spaces kwenye nusu yao na kuwaruhusu yanga watengeneze nafasi nyingi nyingi kama ilivyokuwa kwenye mechi ya kwanza... Na tusishangae leo tukalala na surprise ya mwaka hapo baadae
Kweli kabisa, hawa jamaa mpaka sasa wameiprove sana, lakini shida iko pale pale, wakifunguka au wakichoka tu mautopolo yatatoboa nyavu balaa.
 
Nafasi wanaachia sana tu ni accuracy ya Uto ya kufunga ndo hakuna.
 
Back
Top Bottom