Yaani game inavyoenda mpaka Sasa Hawa Ethiopians ndio wameyafanyia kazi makosa yao waliyoyafanya kwenye mechi ya kwanza kuliko hata Yanga, leo sioni kabisa hawa jamaa wakiacha spaces kwenye nusu yao na kuwaruhusu yanga watengeneze nafasi nyingi nyingi kama ilivyokuwa kwenye mechi ya kwanza... Na tusishangae leo tukalala na surprise ya mwaka hapo baadaeYanga kama tupo ugenini ohhh
Aliyepeleka mechi zenji alaaniwe