Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Choice of words lazima ujali mashabiki wanaosikiliza endapo mtu ana kisukari atapata hisia mbaya ukisema hivyoKwani uongo?
Mpaka mwamuzi Abdel Aziz Bouh alikuwa anawacheka CBEMaumivu makaliView attachment 3102478
Akikujibu bila kumumunya maneno nitagYANGA 5-1 SIMBA
HATA HAPA TULIPIGA BOMU MORTUARY
Ni uchambuzi uchwara tu wa mpira tu boss. si unaona lililotokea baada ya uchambuzi.Kwanini unasema inashuka? Kipimo kipi ulichokitumia?
PoleMimi na familia yangu tunaitakia ushindi CBE SA...
Asante...
KabisaNashindwa kusema hii CBE ni mbovu au hao Yanga ni bora.
Kwa jinsi Simba tulivyowahi kupigwa tano na Yanga, nabakia kusema soka ni mchezo wa kikatili mnoo.
Nisamehewe, nimekosa mimi.Mchambuzi wa kutizama upo?
Tumewapiga na kitu kizito sanaKila la kheri chama langu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara timu pekee pendwa sisi hatupo kombe dogo kama wale wenzetu panya rodi yanga bingwa baadae saa 2 inshallah 😎 tunafuzu makundi View attachment 3101516View attachment 3101520
Zamu yako itafika, October sio mbali. Kaa kwa kutulia.Hawa utopolo hamna kitu wanacheza na timu mbovu ila wanavyohangaika kufunga kama wamekutana na timu ya maana
Ajifunze kufunga piaNani anefata[emoji2955]??View attachment 3102479