FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

Pacome ni engine ya Yanga kukosa goli ni kitu cha kawaida..
Musonda ndio yapasa apunguze papara lakini bado nae ni mchezaji mzuri tu..
Musonda hana utulivu tu, otherwise yuko vizuri
 
Kuna kitu kimenishangaza sana na sikutarajia kama ingekuwa hivyo, baada ya Mudathir kufunga goli akawa anashangilia huku na kule. Nikashangaa Gamondi kuonekana anaangalia saa yake kisha akawasisitiza wachezaji waache kupoteza muda waende wakacheze mpira. Yaani magoli manne bado kocha anataka zaidi aisee hiyo sio fair play.
 
Tatizo lipo kwenye mashabiki kushindwa kuujaza huu uwanja mdogo

Bora wangeacha mechi ipigwe Dar tu
Na tatizo sisi wabongo ni wajinga sana mechi ile ya fainal ya azam v yanga palepale new aman watu wengi sana waliuziwa tiketi feki yani walijua uwanja mdogo utajaa mapema wakaamua kutuimbia kabisa ndo maana wengine tumeghairi tu, kwenda uwanjani.
 
Tukiwaambia Yeboyebo hamna uwezo wa kujaza uwanja hata uwe mdogo vipi mnabisha. Jionee mwenyewe
Tatizo siku ile mechi ya yanga na azam fainali ya kombe la FA. palepale new aman watu walifanyiwa utapeli sana kwenye mauzo ya tikti ya ilikua zaidi ya usumbufu!
 
Yanga imenyanyasa Timu za ethiopia vya kutosha , mwaka ule wa kina edibily Lunyamila waliipiga coffee ya Ethiopia 6-2 kulekule kwao Ethiopia
Iliwapigia shamba la bibi..Kule tulitoka nao sare...
 
Kuna kitu kimenishangaza sana na sikutarajia kama ingekuwa hivyo, baada ya Mudathir kufunga goli akawa anashangilia huku na kule. Nikashangaa Gamondi kuonekana anaangalia saa yake kisha akawasisitiza wachezaji waache kupoteza muda waende wakacheze mpira. Yaani magoli manne bado kocha anataka zaidi aisee hiyo sio fair play.
Gamondi katili sana ....
 
Back
Top Bottom