Ale mkwai 😀😀😀😀Mwapuleni mkwai !
Cooling breakWachezaji wa Zambia wameenda kutusemea kwa kocha wao tumewafunga
Nimelia sana 😭😭😭😭😭Watu kama nyie jeshini huwa mna adhabu yenu special. Aya tulia hukohuko Zambia, mshakalia kimoko
Wameahidiwa milioni 100 kwa kila goalHii morali ndio inahitajika