Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Wewe mke wangu ulikubalije kunizalia watoto wakati unajua mm ni mpuuzi?.Hivi watoto wako wanajua kuwa Wana mzazi mpuuzi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mke wangu ulikubalije kunizalia watoto wakati unajua mm ni mpuuzi?.Hivi watoto wako wanajua kuwa Wana mzazi mpuuzi?!
Kichekesho cha KarneKwa taifa hii tupewe mapema tu kombe la dunia tunawataka Argentina hata kesho🔥🔥🔥
Hii Mechi imenipita wapi uwiiiiiii!!
Haijaoneshwa...Hii Mechi imenipita wapi uwiiiiiii!!
Pongezi kwa Timu Tanzania jamaniii kila la kheri
kwanini??? Unajua ulichonifanya jana huendi mbinguni lo 😁😁😊!Haijaoneshwa...
Mambo ya serikali, hua hawana habari mpaka iwe habari...kwanini??? Unajua ulichonifanya jana huendi mbinguni lo 😁😁😊!
Bora kama hawakuionesha!
So waliahirisha ama huo ushindi imekuaje???
Santo sana kwa mwongozo loMambo ya serikali, hua hawana habari mpaka iwe habari...
Andiko zuri, ila limechafuliwa na hao vyura uliowasifia himid mao na faisal.. himid hamna k2, yupo slow sn, faisal kacheza chini y kiwango, utoto mwingiTaifa stars imecheza vizuri mno na kushinda japo baada ya Mao kutoka katikati kulikuwa na gap kubwa mno hasa second half Zambia wakatawala mchezo na kushambulia sana na kupiga shuti hatari mno, huyu Mtasingwa bado sana bora hata angecheza Mkude. Alikaa nyuma sana na kukaribisha mashambulizi hatari karibu na goli letu, ilikuwa roho mkononi!!
Kitu cha pili Taifa stars ijifunze kukaba kitimu kwa nguvu kama Yanga hatutafungwa ovyo.
Balua alipambana ila hakuwa na wa kuchezeshana nae. Hilo wakaliangalie
Fei alicheza vizuri mno japo alileta utoto alipopata nafasi nzuri ya kushoot badala yake akaanza mbwembwe kutaka kupiga chenga timu nzima, akue sasa, akumbushwe mchezo mkubwa nafasi za kufunga ni chache asizichezee.
Lusajo ni beki imara sana basi asaidiwe maana upande wake hakupata msaada mara nyingi akikaba wachezaji wawili.
Otherwise Hemed Morocco ameprove ni bonge la kocha na anaweza kuibeba Taifa stars. Nilitamani kumuona Msindo pia.
🤣🤣🤣Kwa taifa hii tupewe mapema tu kombe la dunia tunawataka Argentina hata kesho🔥🔥🔥