Fuad Shukr, 2nd commander wa Hezbollah na Mshauri mkuu wa kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah auwawa na IDF nchini Lebanon. Hezbollah wathibitisha

Ngariba1

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
1,829
Reaction score
3,807
Hezbollah wamethibitisha kuuwawa kwa kamanda wao muhimu ambaye ni moja ya waasisi wake na Mshauri mkuu wa kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah , Fuad Shukr katika shambulizi la anga la kushtukiza katika maficho yake mjini Beirut, Lebanon Jumanne tarehe 30, Julai 2024.

Shambulizi la anga lililenga jengo alilokuwemo Shukr katika kitongoji cha Dahiyeh chenye msongamano mkubwa wa watu na vizuizi vingi vya ukaguzi (check points) ambacho kinatajwa kuwa ni ngome muhimu na maskani ya kundi la Hezbollah.

Ni ajabu kwa kamanda wa juu wa Hezbollah kuuwawa ndani ya ngome yake ya utawala tena nchini kwake na vikosi toka nje.

Mazishi yamefanyika tarehe 1 Agosti 2024.
Hezbollah has confirmed one of its senior military commanders was killed in an Israeli air strike in Beirut, the capital of Lebanon.

Late on Wednesday, the Iran-backed group said Fuad Shukr's body had been found in the rubble of a building that was hit on Tuesday.

Four other people were killed in the strike, including two children. Earlier, the Israeli military said Shukr had been the target of an "intelligence-based elimination".

It said the strike was a response to a rocket attack that killed 12 people in the Israeli-occupied Golan Heights on Saturday, which Israel says the commander helped plan.

images (15).jpeg

images (26).jpeg

Chanzo:
 
Hezbollah wamethibitisha kuuwawa kwa kamanda wao muhimu ambaye ni moja ya waasisi wake na Mshauri mkuu wa kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah , Fuad Shukr katika shambulizi la anga la kushtukiza katika maficho yake mjini Beirut, Lebanon Jumanne tarehe 30, Julai 2024.

Shambulizi la anga lililenga jengo alilokuwepo Shukr katika kitongoji cha Dahiyeh chenye msongamano mkubwa wa watu na vizuizi vingi vya ukaguzi (check points).

Hii mbona ya muda almost 3days ago,
Tena huyu aliuawa kabla hata ismail haniyeh.
 
Warabu wa buza watakuja kupinga 😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️
 
Inaonekana Israel anajua maficho ya hawa jamaa sema wanakausha nakumbuka walisema wanajua hata nasrallah Alipo sema wanamkaushia

Aibu sana aisee...! Iran Akianzisha vita marekani anaingia..akiingia na russia anaingia..china nae ndani Nato yote nayo ndani...

INakua Full Nuclear War!
 
Hii mbona ya muda almost 3days ago,
Tena huyu aliuawa kabla hata ismail haniyeh.
Kabisa yaani kama ni kikao Cha harusi tunaita kuvunja kamati na kama maziko tunasema kuanua matanga shughuli ilishaisha muda na biriani lilishaliwa.
 
Hezbollah wamethibitisha kuuwawa kwa kamanda wao muhimu ambaye ni moja ya waasisi wake na Mshauri mkuu wa kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah , Fuad Shukr katika shambulizi la anga la kushtukiza katika maficho yake mjini Beirut, Lebanon Jumanne tarehe 30, Julai 2024.

Shambulizi la anga lililenga jengo alilokuwepo Shukr katika kitongoji cha Dahiyeh chenye msongamano mkubwa wa watu na vizuizi vingi vya ukaguzi (check points).

Ni ajabu kwa kamanda wa juu wa Hezbollah kuuwawa ndani ya ngome yake ya utawala tena nchini kwake na vikosi toka nje.

Mazishi yamefanyika tarehe 1 Agosti 2024.
Hezbollah has confirmed one of its senior military commanders was killed in an Israeli air strike in Beirut, the capital of Lebanon.

Late on Wednesday, the Iran-backed group said Fuad Shukr's body had been found in the rubble of a building that was hit on Tuesday.

Four other people were killed in the strike, including two children. Earlier, the Israeli military said Shukr had been the target of an "intelligence-based elimination".

It said the strike was a response to a rocket attack that killed 12 people in the Israeli-occupied Golan Heights on Saturday, which Israel says the commander helped plan.

Chanzo:
Nasrallah kunja miguu shuka fupi mbu watakuluma!
 
Aisee jamii ya waarabu wenye itikadi Kali wanapitia kipindi kigumu mno! Nadhani kwa sasa Kila gaidi yuko kwenye panick ya Hali ya juu na hawajui wafanye Nini.
Naona muyahudi amekuja na mbinu nyingine ya kupigana vita hapo mashariki ya kati, mbinu yenyewe ni kupiga wachunga kondoo!... kwa hiki kipigo lzm watu kende zidumbukie ndani kama dume la ngombe lililo hasiwa😂

Mbinu hii bila shaka ni miongoni mwa mbinu B.netanyahu alizopewa ktk ziara yake huko magharibi maana Toka ameludi ni mwendo wa chinja chinja. (Snawar —kiporo Cha kesho)
 
Magaidi ya Hezbola yakipigwa vizuri yatamtoa Ayatolah pangoni ndiye kichwa cha Nyoka.
 
Back
Top Bottom