Fuata haya kulinda mahusiano na watu wenye pesa au hadhi zaidi yako

Yaani hawa watu wa hivi!! ndo wanaishiaga kufilisikia kwa waganga wa kienyeji!! wanaishi kimagutu magutu sana!! hawata tulia kamwe!! atamuhisi hata mwanae/ mkewe/nduguye anataka kumpiga pesa!! hajui kuwa ....

chanzo ni kuleee alipo piga kwa tajiri innocent!!! Nenda omba msamaha na lipa zaidi ya mara mbili ya ulichopiga ili uwe salama haijalishi km ukipata hela au laaa!! suala ni rudi uwe salama!!!! ajabu sasa unaiba mwenzako ndo anaagiza Semi trailer kumi!!!
Hahahah kwa hyo unamshauri jamaa aachane na hiyo tabia ya kumpiga pesa alafu akajiona kamkomoaa au kammalizia peeeeesaaa kumbe mwenzie anapeta tu
 
Wanatabia za uchoyo Sana yaani watu wenye uwezo wana anaweza akae mezani akuangalie mpaka upariwe yani mi nna allergy na hawa watu.
Sio kwamba wana tabia za uchoyo wale ndo wanaishi maisha ambayo tunatakiwa kuishi.

Haiwezekani umeenda kwa mtu hujakaribishwa alafu unataka kula..

Haiwezekani unaenda kwa mtu alafu hujamuambia kama unaenda kisha unakaa muda mrefu hujui wana mambo yao ya kufanya.

Haiwezekani unaenda nyumbani kwa mtu unaongeaongea tu bila haja yoyote.

Sisi tusiokuwa matajiri tunaishi life la ovyo sana kuliko matajiri.
 
Upo sahihi.

Matajiri wengi wanaishi maisha ya kibepari wakati masikini wengi wanaishi maisha ya kiujamaa.
 
Hahahah kwa hyo unamshauri jamaa aachane na hiyo tabia ya kumpiga pesa alafu akajiona kamkomoaa au kammalizia peeeeesaaa kumbe mwenzie anapeta tu
Kabisa Mkuu!! ataiba weee!! lkn jamaa ndo anapaa kiuchumi sometimes wala hata hajui kuwa kapigwa mpunga!! mwizi atakimbia kimbia weee!! kwa shida hadi atajifia tu!!
anaweza kuiba kweli akapata lkn akafa kwa kisukari, sometimes kwakukosea au kumuotea majambazi!!!
 
1. Ukitaka kuzoeana na watu wenye pesa zao kamwe USIWAZOWEE

2. Usije kumpigia simu kumsalimia kila baada ya siku kadhaa ikawa ndo desturi yako, acha hiyo atakuwa hapokei simu zako.

Kumbuka thamani ya salamu ni pale tunapowasalimia watu ambao wanaona umuhimu wetu na sio ambao tunaona umuhimu wao"

3. Ukitaka kumtembelea usimpe taarifa kama unaenda, wewe nenda ukimkuta piga stori kama hujamkuta aga ondoka.

4. Ikiwa umemkuta ulipomtembelea chonde chonde chonde usijaribu kukaa muda mwingi; kaa muda mchache zaidi ujifanye una haraka ulipita mara moja tu.

Usije ukala chakula baada ya kwenda ghafla, labda iwe walikualika

Kumbuka "kuwatembelea matajiri ni kama kuwatembelea wagonjwa" kwa maana hawataki usumbufu

5. Kama kakuita kwa shida fulani nyumbani kwake hakikisha unaifanya kwa ucheshi na bashasha na kuipenda kazi hiyo lakini ukimaliza usikae tena ondoka hapo.

6. Ukitaka matajiri wakuheshimu basi jifanye huna muda nao.

7. Hakikisha kabla ya kuonana nae uwe na mambo ya msingi ya kuongea nae, sio unaonana nae mara mnakaa kimya alafu wewe ndo umemfuata na hajakuita, unampotezea muda wake.

8. Usije kumlalamikia shida yoyote ile hata kama huna nia ya kumuomba,kwa maana usilalamikie chochote mbele yake yeye atahisi unamuomba kijanja atakuona mzushi hufai kuwa karibu nae.

acha yeye ndo ajue shida yako kupitia yeye mwenyewe kuona au asimuliwe na wengine kwamba wewe una shida.

Kulalamika shida mbele ya tajiri ni mwiko!

9. Usiwe unakubali vipesa anavyokupa kwa kumsaidia kazi ambazo hazina utaalamu kama vile kusukuma gari,kumsaidia kuingiza mzigo ndani n.k

Akikupa chochote mwambie usijali mkuu kawaida tu kusaidiana sisi wanadamu.

Hapo kiakili ataona na yeye ana deni la kukusaidia wewe kwa wema unaomfanyia hivyo inaweza kumpa fikra akupe mchongo fulani wa pesa na mambo mengine.

Ataona kwamba mali sio ishu kubwa kwako na kumbuka matajiri hawapendi watu wanaopenda mali zao,wanapenda watu wasiojali mali zao matajiri.

10. Usimhoji kabisa kuhusu mali zake kazipata vipi ili na wewe upite njia hizo, usimhoji usimhoji usimhoji!

Kufanya kinyume na haya ni kutaka kuonekana msumbufu na atakuepuka alafu utapoteza malengo yako kama ulitaka kupata connection ama msaada wake.
Exactly
 
Mkuu naipa thread 90% ina researched evidence kiukweli
 
Na matajiri wengi wanapenda kuombwa samaki,ukiomba nyavu za kuvulia samaki wewe ni tishio kwake....[emoji848]....
Haitakiwi umuombe nguvu ya samaki wakati bado hajakuona kama mtu mwenye kujielewa na hajakufahamu bado.

Lazima uzoeane nae kisha ndo mwngine yafante
 
No. 6 imenivunja mbavu. Yaani uwe maskini jeuri kama wahehe vile. Muhehe anaweza kuwa mlinzi wako halafu anakuponda kuwa huna akili!
Mkuu sio jeuri hiyo.

Jeuri ni kurepond vibaya kwa sura ama maneno.
 
Upo sahihi.

Matajiri wengi wanaishi maisha ya kibepari wakati masikini wengi wanaishi maisha ya kiujamaa.
Ubepari una faida zake na ujamaa una faida zake.

Matajiri wanamaintain hizo situation,hawaishi na mfumo mmoja tuuu bali wana balance
 
11. Tajiri hana urafiki na maskini, ukipata chance ya kupiga mpige kiswasawa ukaanze mbele! Ukisubiri huruma utasubiri sana, narudia tena utasubiri sana!

Matajiri wenye huruma walipotea miaka 10 iliyopita!

Teknolojia imekuja na matajili wenye roho mbaya tupu

Acha kuhamasisha wizi, sasa wewe na yule kijana aliekanyagwa na gari majuzi kwa wizi tofauti yenu nini?
 
Wizi ambao haukusogezi popote pale zaidi ya kukuweka mbali na wenye vyao.
 
1. Ukitaka kuzoeana na watu wenye pesa zao kamwe USIWAZOWEE

2. Usije kumpigia simu kumsalimia kila baada ya siku kadhaa ikawa ndo desturi yako, acha hiyo atakuwa hapokei simu zako.

Kumbuka thamani ya salamu ni pale tunapowasalimia watu ambao wanaona umuhimu wetu na sio ambao tunaona umuhimu wao"

3. Ukitaka kumtembelea usimpe taarifa kama unaenda, wewe nenda ukimkuta piga stori kama hujamkuta aga ondoka.

4. Ikiwa umemkuta ulipomtembelea chonde chonde chonde usijaribu kukaa muda mwingi; kaa muda mchache zaidi ujifanye una haraka ulipita mara moja tu.

Usije ukala chakula baada ya kwenda ghafla, labda iwe walikualika

Kumbuka "kuwatembelea matajiri ni kama kuwatembelea wagonjwa" kwa maana hawataki usumbufu

5. Kama kakuita kwa shida fulani nyumbani kwake hakikisha unaifanya kwa ucheshi na bashasha na kuipenda kazi hiyo lakini ukimaliza usikae tena ondoka hapo.

6. Ukitaka matajiri wakuheshimu basi jifanye huna muda nao.

7. Hakikisha kabla ya kuonana nae uwe na mambo ya msingi ya kuongea nae, sio unaonana nae mara mnakaa kimya alafu wewe ndo umemfuata na hajakuita, unampotezea muda wake.

8. Usije kumlalamikia shida yoyote ile hata kama huna nia ya kumuomba,kwa maana usilalamikie chochote mbele yake yeye atahisi unamuomba kijanja atakuona mzushi hufai kuwa karibu nae.

acha yeye ndo ajue shida yako kupitia yeye mwenyewe kuona au asimuliwe na wengine kwamba wewe una shida.

Kulalamika shida mbele ya tajiri ni mwiko!

9. Usiwe unakubali vipesa anavyokupa kwa kumsaidia kazi ambazo hazina utaalamu kama vile kusukuma gari,kumsaidia kuingiza mzigo ndani n.k

Akikupa chochote mwambie usijali mkuu kawaida tu kusaidiana sisi wanadamu.

Hapo kiakili ataona na yeye ana deni la kukusaidia wewe kwa wema unaomfanyia hivyo inaweza kumpa fikra akupe mchongo fulani wa pesa na mambo mengine.

Ataona kwamba mali sio ishu kubwa kwako na kumbuka matajiri hawapendi watu wanaopenda mali zao,wanapenda watu wasiojali mali zao matajiri.

10. Usimhoji kabisa kuhusu mali zake kazipata vipi ili na wewe upite njia hizo, usimhoji usimhoji usimhoji!

Kufanya kinyume na haya ni kutaka kuonekana msumbufu na atakuepuka alafu utapoteza malengo yako kama ulitaka kupata connection ama msaada wake.
NMEIPENDA HII
"Kumbuka "kuwatembelea matajiri ni kama kuwatembelea wagonjwa" kwa maana hawataki usumbufu"
 
Yote hayo ya nini? Naishi Maisha yangu
 
Back
Top Bottom