Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Mkuu, hii mipaka ni maalum kwa watu fulani fulani kama vile we ukiwa unasafiri utahitaji ruksa kuvuka. We hujiulizi Malkia Elizabeth hamiliki passport ila anaingia nchi yoyote bila shida?

Wana msemo wao wanasema, "all people are equal but some people are more equal than others"
 
Bosi leo US service men were out on Alert of war. Na wakaambiwa wakishambuliwa washambulie. Unahisi Congress ilikutana. Nooooo...kuna wakati mwingine rais anapower kulingana na mazingira na wakati.
Uko sahihi kabisa kwa kesi ya dharura, ila issue ya 'Kiduku' haina udharura wowote ndio maana nikasema kumvamia yule itahitaji idhini ya congress, unless 'Kiduku' aishambulie US basi hapo hakutakuwa na namna lazima US arespond accordingly.
 
Tulikosea sana china kumuweka pamoja na Russia na USA china siyo superpower ni mwehu tu kwa dharau aliyofanyiwa leo atokuja kuisahau watu walikuwa wanamtegemea kumbe amna kitu afadhali ata ya mandonga alirusha japo ngumi lakin china ajarusha ata jiwe
Badala yake Mchina amegeuka kuwa mlinzi wa Nancy Pelosi usiku kucha analinda anga na mipaka ya bahari
 
Huyo Mrusi si aliuza Alaska kwa Marekani,kama yeye kidume akachukue kale kajimbo aone moto
Mkuu hivi unauoneshaje uwanaume wako kwa kukichukua kitu ulichokiuza!?
Nalog off Z
 
Wachina wanajibu kuwa wao wako wengi kule Weibo kuliko Twitter. Kwahiyo kama wanataka ligi na wachina waende kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Uchina kafungisha sana.
Nalog off β€ŠZ
 
Hahaha hahahaha hahahaha wale Mashoga wa Russia, China, North Korea na Iran wamejificha kwy maandaki yao uko Kibiti na kule Gamboshi
 
Hahaha hahahaha hahahaha wale Mashoga wa Russia, China, North Korea na Iran wamejificha kwy maandaki yao uko Kibiti na kule Gamboshi
 
Tupe
Tupe Updates mama ameshamaliza ziara yake huyo anasepa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ yaani mchina a-organize safari ya spika wa marekani kwenda taiwan?? ... na CIA wasijue kitu??
you ar not serious mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…