Fuel consumption ya Nissan x trail 2007/2008 ikoje?

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
883
Reaction score
1,291
Wakuu habari,

Poleni na janga la corona. Nilikuwa nauliza kuhusu matumizi ya mafuta ya hi gari Nissan xtrail 2007 au 2008 ikoje kiuhalisia kwa wale waliotumia hii gari au wanijua vizuri.

Kutokana na specification Yake ni 1990CC

Nitashukuru

\
 
Maintenance cost yake Lazima utafute chanzo Cha ziada cha mapato
Hasa upande upi mkuu, maintenance cost si ni Kama x trail model nyingine mf 2004/05 hii haisumbui mbona....
 
Kuna mwamba majuzi juzi alikuwa anahitaji nimtafutie Rav 4 old model toka show room ila tulishindwana bei. Akaja kunitumia pics za Nissan xtrail anataka aishi humo. Nikampa wazo ukiwa uko fresh financially chukua ila kama hautakuwa poa iweke hela uje kuvuta rav 4 uliyoitaka.

Jana naona ananitumia picha za gari Xtrail ipo kwake[emoji3] Mimi navunga sasa ila pale ndiyo kipimo cha kuja kujua kuwa mwamba ana deep pocket ama laah.

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…