Fuel consumption ya Nissan x trail 2007/2008 ikoje?

Fuel consumption ya Nissan x trail 2007/2008 ikoje?

Nimewahi miliki (na kuuza baadae) magari brand ya mazda na nissan na sasa nimeseto kwa Toyota. Magari haya ya mazda na Nissan kwa uzoefu wangu hayana ubovu wowote shida ni uchache wake (haswa mazda) na hivyo wauzaji spea kuwa wachache na mafundi wengi kuwa wapiga ramli( kubahatisha manake wengi hawayajui kifundi) kitu kinachopelekea usumbufu hata kama hela unayo mkononi. Kwa sasa nimeamua kukaa kwa Toyota maaana ziko nyingi kila aina ufundi na spea zinakuwa rahisi. Nikivuka kwenda uchumi wa juu ntavuta amarok ama mnyama mwenyewe nissan patrol lile dude kama kilimo kwanza hapo nakuwa nna uhakika ikizingua nawapelekea wenyewe wauzaji halitii kidole fundi mangungo
Pia, Service kwenye petrol station za TOTAL ninvery professional na cheap tofaut na fundi Mangungo
 
Back
Top Bottom