Fuel consumption ya Nissan x trail 2007/2008 ikoje?

Fuel consumption ya Nissan x trail 2007/2008 ikoje?

That is Nissan....hapo ni mkataba..mtu wa toyota atafunga zake za elfu 70 kama mara kumi ndiyo ile ya nissan iwe imekufa...sasa hapo fikiria mwisho wa siku nani mwenye hasara kwenye spea kati ya mmiliki wa Nissan na toyota
Shockup original za Toyota Harrier ni 1.2M.

Kuna second grade 490K

Na third grade za 270K.


Uamuzi ni wako.
 
That is Nissan hapo ni mkataba..mtu wa toyota atafunga zake za elfu 70 kama mara kumi ndiyo ile ya nissan iwe imekufa...sasa hapo fikiria mwisho wa siku nani mwenye hasara kwenye spea kati ya mmiliki wa Nissan na toyota
Sure, nina Nissan Skyline nilifunga shock-up kwa laki 3.5 mwaka 2014 mpaka leo nadunda Sina stress
 
Kuna mwamba majuzi juzi alikuwa anahitaji nimtafutie Rav 4 old model toka show room ila tulishindwana bei. Akaja kunitumia pics za Nissan xtrail anataka aishi humo. Nikampa wazo ukiwa uko fresh financially chukua ila kama hautakuwa poa iweke hela uje kuvuta rav 4 uliyoitaka...
Hiyo Rav old model inaenda ngapi mkuu?
 
Tunatishwa mtaani kuwa Nissan Ni majanga
Na wengi wanaotoa vitisho hawajawahi kumiliki gari lolote la Nissan.

Na kama wamewahi kumiliki, basi kipato chao kwa mwezi kipo chini ya laki 7 ndiyo maana wanalia lia.

Kama wana kipato kizuri, basi itakuwa wabahili wa spea na wanfanya service kama ya Starlet.
 
Na mimi nimeagiza haka 2008 XT31
BH608980_5fc20b.jpeg
 
Nimewahi miliki (na kuuza baadae) magari brand ya mazda na nissan na sasa nimeseto kwa Toyota. Magari haya ya mazda na Nissan kwa uzoefu wangu hayana ubovu wowote shida ni uchache wake (haswa mazda) na hivyo wauzaji spea kuwa wachache na mafundi wengi kuwa wapiga ramli( kubahatisha manake wengi hawayajui kifundi) kitu kinachopelekea usumbufu hata kama hela unayo mkononi. Kwa sasa nimeamua kukaa kwa Toyota maaana ziko nyingi kila aina ufundi na spea zinakuwa rahisi. Nikivuka kwenda uchumi wa juu ntavuta amarok ama mnyama mwenyewe nissan patrol lile dude kama kilimo kwanza hapo nakuwa nna uhakika ikizingua nawapelekea wenyewe wauzaji halitii kidole fundi mangungo
 
Back
Top Bottom